Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC yachezea 4-1 dhidi ya Wydad

Azam FC Yachezea 4 1 Dhidi Ya Wydad.png Azam FC yachezea 4-1 dhidi ya Wydad

Tue, 30 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wydad AC imepata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Azam FC katika mechi ya kirafiki iliyochezwa nchini Morocco.

Mabao yaliyoipa ushindi Wydad yamefungwa na Mohamed Rayhi, Monir El Habbach, Chouaib Faidi na Mohamed El Ouardi huku bao la kufutia machozi kwa Azam likifungwa na Cheikh Sidibé kwa mkwaju wa penalti.

Wydad kwa sasa inanolewa na Kocha, Rhulani Mokwena aliyeachana na Mamelodi Sundowns.

FT: Wydad 4-1 Azam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live