Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC watua Kigoma kuwakabili Mashujaa, wanatoka?

Azam Kigomaaaaaaa Azam FC watua Kigoma kuwakabili Mashujaa, wanatoka?

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Azam FC kimewasili Kigoma kwaajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mashaujaa kesho Jumatano katika Uwanja wa Lake Tanganyika saa 10:00 jioni.

Azam F imepoteza michezo yake miwili iliyopita dhidi ya Yanga ambapo walikubali kichapo cha magoli 3-2 kisha wakapoteza mbele ya Namungo Uwanja wa Chamazi kipigo cha mabao 3-1.

Je kesho wanatoka?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: