Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC wathibitisha kushiriki Kombe la Muungano

Kipre Azam Fc Azam FC wathibitisha kushiriki Kombe la Muungano

Tue, 16 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam FC yenye maskani yake Jijini Dar es Salaam imetibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Muungano 2024.

Kupitia taarifa Rasmi ya Klabu, Azam imeandika;

"Tunathibitisha tutakuwa sehemu ya timu zitakazoshiriki michuano ya Kombe la Muungano, itakayoanza kutimua vumbi kuanzia Aprili 23 hadi 27, 2024, visiwani Zanzibar".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live