Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC wathibitisha kupokea ofa Real Madrid kumtaka Kipre JR

Azam FC Wathibitisha Kupokea Ofa Real Madrid Kumtaka Kipre JR.jpeg Azam FC wathibitisha kupokea ofa Real Madrid kumtaka Kipre JR

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa kitengo cha Habari Azam FC, Zaka Zakazi amefunguka kuwa hivi karibuni walipokea ofa kutoka Real Madrid wakimuhitaji Kipre Jr.

Zaka amefunguka hayo jana baada ya timu yake ya Azam FC kumshushia kipigo kizito KMC 5-0.

"Huyu Kipre kumtaka watamtaka wengi, hivi karibuni tulipokea ofa ya Real Madrid lakini tuliikataa. Ndio Real Madrid ile yenyewe ya Hispania," alisema Zaka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live