Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC watambulisha kitasa toka Colombia

Azam Beki Klabu ya Azam FC imemtambulisha beki wa kati, Yeison Fuentes (21)

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam FC imemtambulisha beki wa kati, Yeison Fuentes (21) ambaye imemsajili kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka Leones FC ya kwao, Colombia.

Klabu ya Azam FC imemtambulisha beki wa kati, Yeison Fuentes (21) ambaye imemsajili kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka Leones FC ya kwao, Colombia. Huyo anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa kutoka Colombia, baada ya mshambuliaji Franklin Navarro (24) iliyemsajili kutoka Cortuluá FC ya Daraja la Pili nchini kwao, Colombia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: