Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC watakata Chamazi, waichapa Ihefu

Prince Dube Vs Ihefu.jpeg Prince Dube kwa mara nyingine awahakikishia Azam FC kuondoka na alama tatu

Mon, 31 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo dakika ya 55 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Bao pekee la mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo dakika ya 55 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 17 katika mchezo wa tisa na kusogea nafasi ya tatu, wakati Ihefu SC inabaki na pointi zake tano za mechi tisa nafasi ya 14 kwenye ligi ya timu 16, ambayo mwisho wa msimu mbili zitashuka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live