Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC washusha golikipa mpya, Ahmada akalia kuti kavu

Golikipa Mpya Azam FC.jpeg Azam FC washusha golikipa mpya, Ahmada akalia kuti kavu

Mon, 9 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam FC imemsajili kipa mahiri, Abdulai Iddrisu kwa mkataba wa miaka miwili kutoka Bechem United ya kwao Ghana.

Usajili huo unaotokana na juhudi za mmiliki wa timu, Yusuf Bakhresa kwa pamoja na Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin ‘Popat’ una lengo la kuboresha kikosi katika kuwania mataji ya msimu huu.

Sasa Azam FC itakuwa na makipa wawili wa kigeni, mwingine kipa namba moja wa sasa, Mcomoro Ali Ahmada.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live