Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC waiponza Raja Casablanca, wafungiwa na FIFA

Sillah Raja Azam FC waiponza Raja Casablanca, wafungiwa na FIFA

Fri, 24 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Raja Club Casablanca ya nchini Morocco imefungiwa kufanya Usajili na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).

Raja hawakulipa asilimia ya malipo kutoka kwenye mauzo ya mchezaji wa zamani wa Teungueth FC Djibril Syllah kwenda Azam FC.

Raja hawataruhusiwa kufanya Usajili hadi malipo yatakapofanyika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live