Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC waichapa KMC

Iddy Nado Complex Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Iddy Nado

Thu, 30 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Azam FC wameitandika timu ya kukusanya mapato ya KMC bao 2-1 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Mabao ya Azam yamefungwa na mshambuliaji wake, Mkongo Idris Mbombo dakika ya 35 na Mzimbabwe Prince Dube dakika ya 71 wakati la KMC limefungwa na Matheo Anthony dakika ya 77.

Azam wamekuwa wakitumia nafasi ya mapumziko kuendelea kujenga timu yao kuelekea mashindano ya NBC League na kombe la Shirikisho la ASFC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live