Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC waanza na sare Mapinduzi Cup

IMG 6454.jpeg Azam FC, Mlandege hakuna mbabe Mapinduzi Cup

Fri, 29 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Azam FC imeanza michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa sare ya bila mabao na mabingwa watetezi na wenyeji, Mlandege FC katika mchezo wa Kundi A jana Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.

Timu ya Azam FC imeanza michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa sare ya bila mabao na mabingwa watetezi na wenyeji, Mlandege FC katika mchezo wa Kundi A jana Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Mchezo wa Kundi C ulifuatia Saa 2:15 usiku baina ya Vital’O ya Burundi na wenyeji, Chipukizi hapo hapo Uwanja wa New Amaan Complex kukamilisha Michezo ya siku ya ufunguzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live