Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC vs Al Hilal hakuna mbabe

Azam Hilall Azam FC vs Al Hilal hakuna mbabe

Fri, 15 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam imeambulia sare ya bao 1-1 na na Klabu ya Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan kwenye mchezo wao kirafiki uliopigwa jana katika Dimba la Azam Complex, Chamazi.

Klabu ya Azam imeambulia sare ya bao 1-1 na na Klabu ya Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan kwenye mchezo wao kirafiki uliopigwa jana katika Dimba la Azam Complex, Chamazi. Al Hilal ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao la kuongoza kupitia kwa Albert Kangwanda dakika ya 27 kabla ya Azam kusawadhisha dakika ya 80 kupitia kwa Idd Nado.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live