Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC na rekodi zao Ligi Kuu Bara

Azam FC Na Coaches Azam FC na rekodi zao Ligi Kuu Bara

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Azam FC ikizidi kujikita katika uongozi wa jedwali la msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya jana kuichapa JKT Tanzania mabao 2-1.

Ushindi huo wa Azam FC umetengeneza rekodi kadhaa katika Ligi Kuu ya NBC 2023/24.

Sospeter Bajana amefunga goli la mapema zaidi msimu huu baada ya jana kufanikiwa kufunga bao la Azam dakika ya kwanza ya mchezo.

Azam FC imekuwa timu ya kwanza msimu huu kufikisha magoli (30+). Yanga ndio timu iliyoruhusu magoli machache zaidi (5).

Azam amebakiza mechi (3) kumaliza nusu ya michezo ya ligi kuu msimu huu.

vs Geita Gold - (A)

vs Simba SC - (A)

vs Kagera sugar - (A)

SWALI KWAKO : Je Kwanini tunasema Azam FC ameendelea kuzipa presha klabu za Yanga na Simba ?

huku pia anaongoza ligi kwa tofauti ya points 4 kileleni mwa msimamo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live