Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC kuendelea kuchezea kichapo kwa Yanga Jumapili?

Azam FC Kuendelea Kuchezea Kichapo Kwa Yanga Jumapili Azam FC kuendelea kuchezea kichapo kwa Yanga Jumapili?

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dar Derby inatarajia kuunguruma Jumapili hii ambapo Yanga SC, watakuwa dimbani kuwakaribisha Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu mzunguko wa sita.

Rekodi zinaonesha, kwenye mechi zote mbili za msimu iliopita, Azam walichezea kichapo mbele ya Yanga ambapo awali walipigwa 2-0 na kisha baadaye wakalala kwa 2-1.

Msimu huu, Yanga wanaanzia nyumbani ugenini kwani mechi hiyo itapigwa kwenye dimba la Azam Complex licha ya kuwa wao ndio wenyeji wa mchezo huo. Je Azam watautumia vizuri uwanja wao huo na kufuta uteja wa kupigwa nje ndani msimu uliopita? Jumapili sio mbali, tutaona.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live