Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC kuanza kambi Julai 9

Azam  WA0000 Wachezaji wa Azam FC

Thu, 6 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya soka ya Azam imetangaza ya kwamba itaanza rasmi kambi yake ya kujiandaa kwa ajili ya msimu ujao Julai 9 mpaka Julai 30, 2023.

Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo kambi itakuwa katika mji wa Sousse nchini Tunisia.

Azam FC wamefanya usajili mkubwa kuimarisha kikosi chao kwa lengo la kufanya vyema msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live