Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC haoo robo Fainali Mapinduzi Cup

Allasane Iao X Akaminko Azam FC haoo robo Fainali Mapinduzi Cup

Wed, 3 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Azam FC imefanikiwa kwenda Robó Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Vital’O ya Burundi Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar.

Mabao ya Azam FC yamefungwa na mshambuliaji Msenegal, Alassane Diao mawili dakika ya tisa na 57 na beki Pascal Gaudence Msindo dakika ya 72, wakati bao pekee la Vital’O limefungwa na Jean Nzeyimana kwa penalti dakika ya 63.

Azam FC inakamilisha mechi zake za Kundi A na pointi saba baada ya sare ya 0-0 na mabingwa na watetezi, Mlandege na ushindi wa 1-0 dhidi ya Chipukizi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live