Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC dimbani tena leo dhidi ya Stade Tunisien

Sad Azam Azam FC dimbani tena leo dhidi ya Stade Tunisien

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Matajiri wa Chamazi, Azam FC leo wanatarajiwa kushuka tena dimbani kuikabili klabu ya Stade Tunisien ikiwa ni mchezo mwingine wa kujipima klabu kambi hiyo kumalizika nchini Tunisia.

Azam Fc hadi hivi sasa wakiwa kambini katika jiji la Sousse nchini Tunisia wamecheza mechi tatu na hii ya leo inaenda kuwa ya nne yote ni kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24.

AZAM FC vs STADE TUNISIEN

Muda: 07:00 PM ( E. A. T)

???? International Friendly

Uwanja: Parc Hedi Enneifer.

Azam Fc 3 - 0 Al Hilal Omdurman ✅

Azam Fc 0 - 3 Esperance De Tunis ❌

Azam Fc 2 - 1 US Monastir ✅

Azam Fc vs Stade Tunisien ❓

Chanzo: www.tanzaniaweb.live