Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC bado wanautaka ubingwa Ligi Kuu

Azam FC Bado Wanautaka Ubingwa Ligi Kuu Azam FC bado wanautaka ubingwa Ligi Kuu

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

CEO wa Azam FC Abdulkarim Popat amesema bado wanajiona wapo katika mbio za ubingwa licha ya mechi 10 zilizosalia.

Katika upande wa Sakata la mchezaji Prince Dube, Popat amesema bado hawajamalizana naye.

"Sisi tumecheza michezo ishirini bado michezo kumi.Huwezi kusema tumetupa taulo, hii ni ligi mpaka itakapofika mwisho ndio tutajua nani mshindi. Mimi sijawahi kusema popote kwamba sisi tutakuwa mabingwa au hatutakuwa, tusubiri mwishoni," alisema Popat.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live