Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC: Tutachukua wachezaji wanne Simba, Yanga

Hasheem Ibwe Nabi Azam FC: Tutachukua wachezaji wanne Simba, Yanga

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ofisa Habari wa Azam Fc, Hashim Ibwe ameweka wazi mipango ya timu hiyo kuelekea kwenye maandalizi ya msimu ujao kuwa mpaka sasa wameshatuma maombi kwa timu ya Yanga wakitaka kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo Clement Mzize, huku akisema bado wengine watatu kutoka kwenye timu mbili kubwa ambazo ni Simba na Yanga.

Ofisa Habari wa Azam Fc, Hashim Ibwe ameweka wazi mipango ya timu hiyo kuelekea kwenye maandalizi ya msimu ujao kuwa mpaka sasa wameshatuma maombi kwa timu ya Yanga wakitaka kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo Clement Mzize, huku akisema bado wengine watatu kutoka kwenye timu mbili kubwa ambazo ni Simba na Yanga. Ibwe ameyasema hayo Aprili 17, 2024 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wao dhidi ya Mashujaa kumalizika kwa suluhu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live