Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC: Tunautaka ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu

Azam FC Mbeya Ligi.jpeg Azam FC.

Wed, 13 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa Timu ya Azam FC umeweka wazi kuwa mikakati yao kuelekea mwisho wa msimu ni kuhakikisha kupambania ubingwa wa Ligi Kuu au kumaliza katika nafasi tatu za juu ya msimamo wa Ligi.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 13, 2024 Mtendaji mkuu wa Azam FC, Abdulkarim.

Popat amesema bado wana mechi kumi mkononi hivyo bado wapo kwenye mbio za ubingwa huku wanajua ligi ngumu na watahakikisha timu yao inaendelea kufanya vizuri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live