Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC: Tunajipanga kwa makombe yaliyobaki

Zakazakazi Hj.jpeg Thabit Zakaria "Zakazakazi" - Afisa Habari wa klabu ya Azam FC

Mon, 28 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya juzi Ijumaa kutolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bahir Dar kwa mikwaju ya Penati 3-4.

Afisa Habari wa Azam FC Zakazakazi amesema wanasahau yaliyopita na sasa wanajikita kutazama ya mbele.

“Msimu huu kwa mara ya kwanza tumepoteza malengo yetu baada ya kutolewa kombe la shirikisho, Tunajipanga tufanye vyema kwa Michezo ya Mashindano Mengine yajayo , Ngao ya Hisani ni kama Michezo ya Pre season tu ”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live