Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ayoub hana kiwango cha kuridhisha - Mchambuzi

Fdg Ayoub Simba Ayoub hana kiwango cha kuridhisha - Mchambuzi

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Boiboi Mkali, mchambuzi wa masuala ya soka kutoka kituo cha runinga cha TV3 amedai kuwa kipa wa Simba Sc, Ayoub Lakred amekuwa akifanya makosa ya hovyo na kusababisha timu yake kufungwa.

"Makosa ambayo anayafanya Ayoub Lakred angekuwa anayafanya Ally Salim ingekuwa stori kubwa sana angeonekana kijana hajakomaa lakini Ayoub amekuwa anafanya makosa mengi sana ambayo yanapelekea kuigharimu timu ya Simba SC.

"Mimi sioni kama Ayoub ana vitu vingi sana vitakavyofanya awe kipa bora kuliko makipa wengine lakini kinachompa Ayoub nafasi ni promotion ambayo alifanyiwa lakini kwa kiwango chake sio cha kuridhisha," amesema Boiboi Mkali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live