Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Avunjiwa Mkataba baada ya kukutwa Mtandao wa Mapenzi

Perfil De Emirhan Delibas  Del Besiktas  En Bumble  Captura Bumble Avunjiwa Mkataba baada ya kukutwa Mtandao wa Mapenzi

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Besiktas imesitisha mkataba na nyota wake kiungo Emirhan Delibas baada ya kukuta wasifu wake kwenye mtandao wa ngono.

Klabu ya Besiktas imesitisha mkataba na nyota wake kiungo Emirhan Delibas baada ya kukuta wasifu wake kwenye mtandao wa ngono. Uongozi wa klabu ya Besiktas umesikitishwa sana na kitendo hicho huku wakiamini kile alichokifanya nyota huyo ni kuichafua taswira ya klabu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live