Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Augustine Okejepha ni Mnyama

Okejepha Simba.jpeg Augustine Okejepha ni Mnyama

Mon, 8 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye fundi amewasili! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Simba kumtambulisha kiungo Augustine Okejepha raia wa Nigeria.

Okejepha anatua Msimbazi akitokea klabu ya Rivers United ambayo aliitumikia kwa mafanikio makubwa msimu uliopita.

Okejepha ana umri wa miaka 20 tu lakini tayari amejizolea umaarufu na kuweka alama katika soka la Nigeria.

Msimu uliopita aliibuka kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Nigeria MVP, akiifungia Rivers United bao moja na kutoa assist tatu.

Ikumbukwe huyu ni kiungo mkabaji ambaye pasipo na shaka anakwenda kutatua changamoto iliyoitesa Simba kwa misimu kadhaa katika nafasi hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live