Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aucho the Football Jiin - Farhan

Aucho 4989890 Aucho the Football Jiin - Farhan

Sun, 21 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ustadh Khalid Aucho, benki ya Taifa NBC wameweka pesa yao kwenye huu mchezo, media ya Taifa TBC wameweka pesa yao kwenye huu mchezo.

Ustadh Khalid Aucho ameweka ladha yake kwenye hii game, alikosa Kiungo bora msimu uliopita na ametuma salaam kwa kamati msimu huu kuwa “I took it personal”

Waambie Wanao wa bata Mlimani City kuwa This isnt rap beef, its fillet mignon football, miguu imejaa kama maziwa ya Dada Masha wa Mafufu Jimmy, wanauliza hiki nini aitwe Aucho the Football Jiin, wala hataki kelele nyingi kama wachezaji wa Dada deesh halafu mwisho Min, damu yake ukiikata ni Kijani mchezo wa juu wa mizani kama beat za P Funky Majani.

Umri umeenda hawezi kuondoka, kila zama zitapita atawepo! Mitaa inamwita Ustadh Aucho the Young Africans Mangungu, hana maneno mengi kwenye media ila ndie mwenye nguvu zaidi uwanjani Ustaadh, utapokewa utakavyokuja! Pass iliyokinzana na Watalam wa Hesabu pale COET UDSM wamerudi darasani Profesa anaanzisha Lecture.

Wasomi wanasema ile ni Parabola Pass according to Parabola Equation na Ustadh ana PCM ya mpira, alizipiga hesabu zake bila Four Figure, chukua hii The general equation of a parabola is: y = a(x-h)2 + k or x = a(y-k)2 +h, where (h,k) denotes the vertex.

The standard equation of a regular parabola is y2 = 4ax, where X Equals to Guede! kama unasema ni offside tutapiga Mwalimu wako wa Hesabu clear goal.

Unamtazama Ustadh kwenye dunia ya soka la kisasa, ni mfano kuwa Football heritage still delivers, don’t forget what old school aura can do! Muchas Gracias the Tank, mafuta ya kutosha hata kama Ewura watasema yamepanda, sheli isiyokuwa na foleni, kifaru kinachotembea, ni fahari kumtazama, busara kumwandika na raha kumshangilia, proper Baller.

WAKULIMA wenzangu wa Morogoro wanasema “This is the Master who helps his team to break the bread.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live