Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aucho kapania

Khalid Aucho Kkkk.jpeg Khalid Aucho

Tue, 5 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Yanga, Ustadh Khalid Aucho nadhani tuzo za msimu uliopita amezichukulia personal sana.

Msimu huu ameamua kuonesha utofauti waziwazi, pengo kati yake na Viungo wengine ni kubwa sana, ndio Mchezaji pekee amemiliki dimba mbele ya Azam, Simba, JKT, KMC.

Hakuna mechi ambayo amecheza chini na hakuna namna amepata shida zaidi ya kuwapa watu shida, msimu huu ameamua kutaka kuumaliza ubishi mapema saana kama atasalia na afya njema bila majeraha na kuendelea kufanya anachofanya.

Je, kwa kiwango cha Aucho cha sasa tutarajie kumuona katika tuzo za Ligi Kuu mwishoni mwa msimu huu? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: