Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aucho awachambua Duke Abuya vs Mudathir Yahya

Abuya Mudathir (3) Aucho awachambua Duke Abuya vs Mudathir Yahya

Thu, 5 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

- Kiungo wa Khalid Aucho Akiwa live kwenye insta story akifanya mahojiano na Mwandishi wa Habari kutoka Kenya @bedjosessien amefunguka kuhusiana na tofauti ya Mudathiri yahya na Duke Abuya.

“Siwezi kukuambia nani ni bora baina yao ila naweza kuwatofautisha ivv… Kwanza wote ni wazuri sana wakiwa na mpira ila Duke anatumia muda kidogo kuamua afanye nini…! Mudathir ni ‘aggressive’ kuliko Duke na anapenda kuwania mpira kwa nguvu kuliko mwenzie”

“Wakati Duke amefika Yanga nilipomuona kwa mara ya kwanza sikujua anacheza nafasi gani… Alikuwa kama anapenda kushambulia zaidi ila ungemuona pembeni kama winga nikamuambia… Kama unataka kucheza mpira tulia kwenye nafasi! Kwenye mpira kama wewe ni beki cheza kama beki na sio kama straika ama vinginevyo.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live