Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aucho atwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka

FB IMG 1668801088209 Aucho Aucho atwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka

Fri, 18 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa klabu ya Yanga, Khalid Aucho ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Uganda.

Aucho (29) amewashinda golikipa wa Mamelodi Sundowns, Dennis Masinde Onyango (37) na mshambuliaji wa Vipers Yunus Sentamu (28).

Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Aucho amewapongeza wote waliompigia kura na kumpa ushindi huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live