Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aucho atinga uzi wa Taifa Stars

Auchokhalidofficial.heic Aucho atinga uzi wa Taifa Stars

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Yanga SC, Khalid Aucho ambaye ni Raia wa Uganda, hii leo katika Mitandao yake ya Kijamii ameposti Picha akiwa ametinga Uzi wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars huku akiandika Ujumbe wa Kuitakia Kila la kheri Taifa stars katika Michuano ya AFCON.

Kiungo wa Yanga SC, Khalid Aucho ambaye ni Raia wa Uganda, hii leo katika Mitandao yake ya Kijamii ameposti Picha akiwa ametinga Uzi wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars huku akiandika Ujumbe wa Kuitakia Kila la kheri Taifa stars katika Michuano ya AFCON. Ikumbukwe kuwa, Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo imefuzu na inashiriki michuano ya AFCON 2023 katika ukanda wa CECAFA (Afrika Mashariki na Kati).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live