Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aucho aongeza kandarasi Yanga

IMG 6040 1024x917 Aucho Khalid Aucho

Thu, 5 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

NDIO! Ulichokisoma ni sahihi kabisa, achana na zile stori za kwenda wapi na wapi, Daktari wa mpira, Khalid Aucho ni mali ya Jangwani kwa mwaka mmoja zaidi mpaka mwaka 2024.

Aucho alisajiliwa kwenye dirisha kubwa la usajili Augost 9, 2021 na kusaini kandarasi ya miaka miwili akitokea klabu ya Makkasa SC ya nchini Misri.

Akiwa na jezi ya Wananchi, Aucho amekuwa nguzo muhimu kwenye safu ya kiungo ya Yanga na hii ndio imepelekea benchi la ufundi kuona kuna umuhimu wa kumuongeza mkataba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live