Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aucho amtaja Fei Toto Yanga

Yanga Mayele Fei Farid Aucho.jpeg Aucho amtaja Fei Toto Yanga

Fri, 28 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Klabu ya Yanga, Khalid Aucho raia wa Uganda ameweka wazi wachezaji ambao waliomvutia kwa msimu uliopita 2021/2022.

Aucho amewataja Fei Toto na Kibwana Shomari katika mahojiano aliyoyafanya na kituo cha Azam TV.

"Feitoto ni mchezaji alienivutia sana kwa sababu ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa, umri modgo na moyo mzuri wa kupambana mwingine ni Kibwana Shomari ni mchezaji mwenye nidhamu na mpambanaji.

"Mwanzoni nilishangaa kuona anawezaje kucheza pande zote kulia na kuamesema shoto lakini baadae nikamuona ni mchezaji mzuri sana na ananidhamu ya hali juu," amesema Khalid Aucho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: