Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aucho aipa neno Taifa Stars

Aucho9175 Kiungo wa Yanga Khalid Aucho

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Uganda na ‘klabu’ ya Yanga Khalid Aucho ameitakia kila la kheri ‘Taifa stars’ katika michuano ya AFCON 2023, yanayotarajiwa kuanza leo, nchini Ivory Coast.

Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Uganda na ‘klabu’ ya Yanga Khalid Aucho ameitakia kila la kheri ‘Taifa stars’ katika michuano ya AFCON 2023, yanayotarajiwa kuanza leo, nchini Ivory Coast. Kupitia ukurasa wa Instagram wa Aucho ame-share picha akiwa ametupia uzi wa Taifa stars iliyoambatana na ujumbe wa kuiombea dua ‘timu’ hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live