Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aucho, Okwi kuikabili Taifa Stars

AUCHO NA OKWI Aucho, Okwi kuikabili Taifa Stars

Fri, 10 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Yanga SC, Khalid Aucho na aliyekuwa Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi ni miongo mwa wachezaji 30 walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Uganda kujiandaa na mchezo dhidi ya Tanzania kuwania kufuzu AFCON 2023.

Kiungo wa Yanga SC, Khalid Aucho na aliyekuwa Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi ni miongo mwa wachezaji 30 walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Uganda kujiandaa na mchezo dhidi ya Tanzania kuwania kufuzu AFCON 2023. Kocha wa Uganda Cranes, Milutin Sredojevic ametaja kikosi hiko kitakacho ingia kambini wiki ijayo kujiandaa na majirani zao timu ya Taifa Stars mchezo utakaopigwa, Suez Canal Authority, Ijumaa ya Machi 24, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live