Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aucho: Nifurahieni sasa, hattatokea Aucho mwingine

Aucho Topee Khalid Aucho

Tue, 30 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Yanga SC, Mganda Khalid Aucho amewataka wapenda soka kumfurahia wakati huu akiendelea kulisakata kabumbu katika ligi ya Tanzania kwasababu hakuna Khalid Aucho mwingine ambaye ataonekana kwenye soka la Bongo.

“Nifurahie wakati huu nikiwa kwenye ligi ya Tanzania, kwasababu hautomuona Aucho Khalidi mwingine tena. Muwe na wiki mpya yenye baraka” ameandika kiungo huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akidhihirisha mahaba yake kwa Wananchi.

Kwa sasa ni msimu wa tatu kwa Aucho tangu ajiunge na Yanga na amekuwa kipenzi cha mashabiki wa timu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Jangwani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live