Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aubameyang Avuliwa Unahodha Arsenal

Aubameyang Aubameyang Avuliwa Unahodha Arsenal

Tue, 14 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

ARSENAL imemvua unahodha Pierre-Emerick Aubameyang na hatacheza kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza dhidi ya West Ham kesho Jumatano usiku.

"Kufuatia ukiukaji wake wa nidhamu wiki iliyopita, Pierre-Emerick Aubameyang hatakuwa tena nahodha wa klabu yetu, na hatazingatiwa kwenye uchaguzi wa kikosi kitakacho cheza mechi ya Jumatano dhidi ya West Ham United.

"Tunatarajia wachezaji wetu wote, haswa nahodha wetu, kufanya kazi kwa kuzingatia sheria na viwango ambavyo sote tumeweka na kukubaliana. Tunaangazia kikamilifu mechi ya kesho," iliandika Arsenal.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live