Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aubameyang Aondoka Arsenal

Auba Pierr Aubameyang Aondoka Arsenal

Fri, 31 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Arsenal Pierre Emerick Aubameyang ameondoka katika kambi ya klabu hiyo na kurejea nchini kwao Gabon kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya Michuano ya AFCON 2021 itakayofanyika nchini Cameroon.

Aubameyang atakosa mechi tano zijazo:

Man City (EPL)

Liverpool (Carabao Cup)

Nottingham Forest (FA Cup)

Tottenham Hotspurs (EPL)

Nyota huyo amewekwa kando ya kikosi cha Arsenal na mwalimu Mikel Arteta kwa muda sasa kwa makosa ya utovu wa nidhamu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live