Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Atletico wakamilisha dili la Soyuncu

Soyuncu.jpeg Caglar Soyuncu

Wed, 1 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Atletico Madrid imefikia makubaliano ya masharti binafsi ya kumsajili bure mlinzi wa kati wa Leicester City, Caglar Soyuncu (26) pindi mkataba wake Leicester City utakapofikia tamati mwisho wa msimu huu.

Atletico Madrid imefikia makubaliano ya masharti binafsi ya kumsajili bure mlinzi wa kati wa Leicester City, Caglar Soyuncu (26) pindi mkataba wake Leicester City utakapofikia tamati mwisho wa msimu huu. Liverpool ilikuwa na nia ya kumsajili bure nyota huyo raia wa Uturuki mwisho wa msimu lakini dili hilo limeota mbawa na sasa nyota huyo ataelekea Uhispania mwisho wa msimu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live