Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aston Villa yamtema Ashley Young

Ashley Young Aston Villa yamtema Ashley Young

Wed, 31 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Aston Villa imethibitisha kuwa mkongwe Ashley Young (37) ataondoka klabuni hapo pale mkataba wake utakapotamatika mwisho wa msimu huu.

Klabu ya Aston Villa imethibitisha kuwa mkongwe Ashley Young (37) ataondoka klabuni hapo pale mkataba wake utakapotamatika mwisho wa msimu huu. “Kila mmoja ndani ya Aston Villa anamshukuru kwa dhati Ashley Young kwa huduma yake klabuni hapa na tunamtakia kila la Kheri katika maisha yake ya siku za usoni,“ imesema Aston Villa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: