Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aston Villa kama hawapo vile

Aston Villa Hesabu Aston Villa kama hawapo vile

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Arsenal wikiendi iliyopita, sasa Aston Villa wanaendelea kuruka na ushindi wa 15 nyumbani mfululizo kwenye Premier League.

Baada ya Ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Arsenal wikiendi iliyopita, sasa Aston Villa wanaendelea kuruka na ushindi wa 15 nyumbani mfululizo kwenye Premier League. Villains wameshinda mechi zao 15 mfululizo zilizopita katika uwanja wa Villa Park chini ya Unai Emery.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live