Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Asikwambie mtu! Chelsea ilitoa pesa ndefu kumnasa Potter

Potter Pic Graham Potter

Thu, 23 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa taarifa, Chelsea ililipa paundi milioni 21.5 kama fungu la kuvunja mkataba wa Graham Potter kutoka Brighton.

Kwa mujibu wa taarifa, Chelsea ililipa paundi milioni 21.5 kama fungu la kuvunja mkataba wa Graham Potter kutoka Brighton. Inatajwa inaweza kuwa dau kubwa kabisa kuwai kulipwa ili kuvunja mkataba wa kocha kutoka timu moja kwenda nyingine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live