Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Asikudanganye tu, Yao ni habari nyingine

Yao Kouassi Attohoula Assist Mlinzi wa Kulia wa Yanga, Yao Kouassi Attohoula

Mon, 6 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Achana na jukumu lake la kuzuia, Yao Kouassi Attohoula ameonyesha kuwa ni beki wa kisasa kutokana na kuisaidia Yanga kupandisha mashambulizi upande wake wa kulia.

Beki huyo ndiye aliyetoa asisti ya bao la kwanza kwa Yanga baada ya kupiga krosi iliyotumia vyema na Musonda aliyemalizia kwa kichwa katika dakika ya nne.

Asisti ambayo ametoa Yao ni ya tano (5) msimu huu kwenye ligi na ndiye kinara wa pasi za mwisho hadi sasa, katika majukumu yake kama beki wa kulia alikuwa kizingiti huku akionekana kukaba kwa hesabu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: