Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Asensio yuko tayari kupigania namba Madrid

Asensio Winga wa Real Madrid, Marco Asensio

Mon, 13 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Real Madrid Marco Asensio anatazamiwa kuwa na umuhimu mkubwa katika mipango ya Carlo Ancelotti hapo 2022.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uhispania alifunga bao muhimu la pili katika ushindi wa 2-0 wa El Derbi ya La Liga dhidi ya Atletico Madrid.

Walakini, licha ya mchango wake muhimu dhidi ya majirani zao wa jiji, nyota huyo mzaliwa wa Mallorcan hana uhakika wa kuanza chini ya meneja Carlo Ancelotti.

Mwaka 2019 alipata jeraha ambalo liliathiri mchango na nafasi yake Real Madrid, na kocha wa zamani Zinedine Zidane hakumtumia sana msimu uliopita, alianza mechi 21 na mechi 14 akitokea benchi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live