Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Asababisha mafuriko ili astarehe na mchepuko

Mchepuko.jpeg Asababisha mafuriko ili astarehe na mchepuko

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwaka 1993, James Scott wa Missouri nchini Marekani alifanya tukio ambalo mpaka leo hii limeendelea kushangaza watu kote duniani.

ALIFANYAJE?

Bwana James aliamua kuharibu kingo za mto Missisipi kwa nia ya kusababisha mafuriko.

ILI IWEJE?

Alifanya hivyo ili kumchelewesha mke wake asirudi nyumbani mapema ili apate kuburudika na kufurahia maisha na mchepuko wake.

NINI KILITOKEA

James alisababisha mafuriko makubwa kuwahi kutokea yaliyodumu kwa miezi 4, na alihukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live