Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arteta kuuza Straika wake kumnasa Isak

Alexander Isak. Asdc Aleksander Isak

Wed, 1 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Arsenal ina mpango wa kuachana na nyota wake Gabriel Jesus msimu ujao kutokana na hali ya majeraha ambayo yamekuwa yakimuandama mara kwa mara jambo ambalo msimu huu limemfanya akose michezo takribani 16 ya klabu hiyo.

Klabu ya Arsenal ina mpango wa kuachana na nyota wake Gabriel Jesus msimu ujao kutokana na hali ya majeraha ambayo yamekuwa yakimuandama mara kwa mara jambo ambalo msimu huu limemfanya akose michezo takribani 16 ya klabu hiyo. Arsenal ipo kwenye mazungumzo na nyota wa klabu ya Newcastle Aleksander Isak raia wa Sweden kama mbadala wa Gabriel Jesus ikiwa tu dili la Ivan tooney litazimika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live