Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arteta kuna kitu anakaitafuta kwa Havertz

Arteta X Kai Havertz Arteta kuna kitu anakaitafuta kwa Havertz

Thu, 7 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuna lile tukio la Havertz kuanguka dhidi ya United kwenye boksi jumapili...Ule ndio muda pekee ambao Havertz alikuwa amefanya tukio hatari la kushambulia na kidogo aipe timu faida.

Kuna lile tukio la Havertz kuanguka dhidi ya United kwenye boksi jumapili...Ule ndio muda pekee ambao Havertz alikuwa amefanya tukio hatari la kushambulia na kidogo aipe timu faida. Arteta anaweza kutumia ile scenario kama mahala pakuanzia kwa Kai. Kwenye eneo la juu karibu na boksi, Kai asihusishwe na kutengeneza mashambulizi bali apewe leseni ya kukimbia kwenye nafasi akutane na mipira kama ile au acheleweshe mikimbio huku mchakato wa move ukitayarishwa na wengine yeye afike kwenye matukio ya mwisho karibu na lango

Chanzo: www.tanzaniaweb.live