Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arteta kumtema kiungo huyu..!

Uyftd Fabio Vieira

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Arsenal wanaweza kumruhusu kiungo wa kati wa Ureno Fabio Vieira kujiunga na Marseille kwa mkopo mwezi Januari.

Arsenal wanaweza kumruhusu kiungo wa kati wa Ureno Fabio Vieira kujiunga na Marseille kwa mkopo mwezi Januari. Fabio Vieira amekuwa na wakati mgumu kupata namba katika kikosi cha Arsenal kwa sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live