Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arteta kuanza na makinda wake leo?

Makinda Gunners Arteta kuanza namakinda wake leo?

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji chipukizi wenye vipaji wa Arsenal Ethan Nwaneri, Lino Sousa na Reuell Walters wote wamesafiri na kikosi cha Arsenal kabla ya mchezo wa UCL.

Wachezaji chipukizi wenye vipaji wa Arsenal Ethan Nwaneri, Lino Sousa na Reuell Walters wote wamesafiri na kikosi cha Arsenal kabla ya mchezo wa UCL. Arsenal watakuwa Dimbani leo kukipiga na PSV na wanatarajiwa kuanza na wachezaji wengi ambao hawapati nafasi mara kwa mara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live