Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arteta awekwa kikaangoni EPL

IMG 5256 Arteta.png Mikel Arteta

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Arsenal Mikel Arteta ameshtakiwa kwa kukiuka sheria ya FA E3.1 kutokana na Kutoa maoni yake baada ya mchezo dhidi ya Newcastle ambapo Arsenal alipoteza kwa kufungwa bao moja kwa sifuri.

Arteta anadaiwa maoni yake ni utovu wa nidhamu na ni matusi kwa wasimamizi wa mechi yanaharibu mchezo.

Ana hadi tarehe 21 Novemba kujibu shtaka hili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live