Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arteta atoa maagizo usajili wa João Palhinha

Joao Palhinha Fulham João Palhinha

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta ameutaka Uongozi wa Klabu hiyo kuhakikisha wanafanikiwa Kupata Saini ya Kiungo wa Kimataifa wa Ureno na klabu ya Fulham, João Palhinha ambaye tayari amehusishwa Kujiunga na FC Bayern Munich.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live