Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arteta ashinda tuzo ya Kocha Bora wa mwezi EPL

Mikel MNAGER Arteta ashinda tuzo ya Kocha Bora wa mwezi EPL

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mikel Arteta ameteuliwa kuwa KOCHA Bora wa Mwezi Februari wa Ligi Kuu ya Uingereza.

Arteta ameshinda tuzo hiyo kwa mara ya saba katika maisha yake ya ukocha akiwapiku Pep Guardiola na Erik Ten Hag

Rekodi za Arsenal katika mwezi Februari ni kama zifuatazo

Michezo 4

Ushindi 4

Magoli 18 yamefungwa

Magoli 2 ya aliyofungwa na timu yake

Chanzo: www.tanzaniaweb.live