Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arteta anaweza kwenda Man U wakimuwekea dau - Ferdinand

Arteta Anaweza Kwenda Man U Wakimuwekea Dau   Ferdinand Arteta anaweza kwenda Man U wakimuwekea dau - Ferdinand

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Rio Ferdinand anaamini kuwa kocha wa #Arsenal #MikelArteta anaweza kujiunga na Man U endapo #ManUnited watamuwekea dau . Akizungumza kupitia YouTube channel yake "5 Magazine" Rio amesema kuwa "Sisemi kwamba inatokea sasa hivi lakini naamini kama kama Ten Hag akiachwa au akienda Bayern Munich na uongozi wa Man U ukamchagua Arteta kurithi kiti chake niaminini Arteta ataiaga Arsenal"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live